technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Robatinyo alifukuzwa kwa kufungwa mechi moja tu huyu mbili yapi yalikuwa maamuzi mabaya ?Maamuzi ya hovyo ambayo hayafuati ethics we ndio unaita magumu?
Maamuzi magumu yanakuwa ni yale yanatolewa rational na sio kwa ego ku prove kuwa upo kwenye high power ya kuweza kuamua lolote dhidi ya watumishi ambao wako chini yako.