Hiyo ni kweli sii kama wanaokesha msimbazi wakishangilia ushindi wa tabora na azam kama ndio ushindi wao.Hakika Yanga inaendeleza historia yake ya miaka mingi.Yaani haina utani katika kufanya maamuzi.
Yaani ukiizingua yanga haikuachi...ukiisaliti yanga lazima ikunyooshe.
HONGERA ENG Hersi.
na wengine wote waliobakia ....
YOU ARE EITHER WITH YANGA OR AGAINST YANGA!!
Eti man u imefanya maamuzi magumu kumtimua kipara hag, maajabu haya.Kutimua kocha haijawahi kuwa maamuzi magumu.
Timu zote duniani hufanya jambo hilo bila kuulizwa.
Achaa uzushi na chuki,pandisha taarifa halisi hapa.Jasusi la kiGermany litakua na kazi maalumu linamaelekezo kutoka FIFA wana yanga tujiandae kuumbuka View attachment 3153336
Na kamwe maamuzi yake sii kama ya kolo wizardHakika Yanga inaendeleza historia yake ya miaka mingi.Yaani haina utani katika kufanya maamuzi.
Yaani ukiizingua yanga haikuachi...ukiisaliti yanga lazima ikunyooshe.
HONGERA ENG Hersi.
na wengine wote waliobakia ....
YOU ARE EITHER WITH YANGA OR AGAINST YANGA!!
Lakini yasiyo na tijaHakika Yanga inaendeleza historia yake ya miaka mingi.Yaani haina utani katika kufanya maamuzi.
Yaani ukiizingua Yanga haikuachi ukiisaliti Yanga lazima ikunyooshe.
HONGERA ENG Hersi.
na wengine wote waliobakia.
YOU ARE EITHER WITH YANGA OR AGAINST YANGA!!