Yanga ni habari Nyingine

Mmmh. Mmehamia kwenye mbeleko. Duuh.
Uliangalia mechi yote lakini Shadeeya au kuna nyakati ilibidi uzime TV kwa muda ili pressure isipande? Kama uliangalia hebu sema ukweli wako mbeleko hukuiona? Msema kweli ni mpenzi wa Mungu ujue! Cmb
 
Uliangalia mechi yote lakini Shadeeya au kuna nyakati ilibidi uzime TV kwa muda ili pressure isipande? Kama uliangalia hebu sema ukweli wako mbeleko hukuiona? Msema kweli ni mpenzi wa Mungu ujue! Cmb
Nikiangalia mpaka mwisho ila msisahau kwamba muamuzi naye ni binadamu sio malaika. Sawa
 
Nikiangalia mpaka mwisho ila msisahau kwamba muamuzi naye ni binadamu sio malaika. Sawa
Hahahaaa umenichekesha sana Shadeeya

Hapo umekua kama mangi muuza duka. Yeye siku zote akikosea kukurudishia chenji basi ujue kakupunja weye mnunuzi na haiwezi tokea akakosea akuzidishie!

Muamuzi ni binadamu na sio malaika siku zote wakati akiipendelea Yanga tu, si ndio? Hata mechi yenu na Simba siku zile muamuzi alionyesha ubinadamu wake kwa kukataa goli la Msimbazi😳😳😳
 
Ndiooo. Na hii ndio sababu ulaya kuna VAR. Waweke na huku TZ ili tusimlaumu mwamuzi sababu si malaika yule Ses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…