Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Tusiandikie mate wakati wino upo. Tuombe uzima tu ushuhudie Nkana anavyong'olewa. Si unajua Nkana sio Ruvu Shooting? Maandalizi lazima yawe ya uhakika. Hiyo kutufunga 2-1 ni kama kipindi cha kwanza tu na mchezo haujaisha safari hii tukiwaalika kwetu tulipopazoea kwa MchinaHivi wanaobebwa ni wapi mmepewa wiki mbili kujiandaa na Nkana halafu mmepigwa si mgecheza angalau mechi hata moja ikajulikana mnalimbikiza maviporo yasiyo ya lazima (wiki mbili kwa mpira ule) mtasubiri sana hayo maneno hamjayaanza leo umekuwa kama wimbo