Yanga ni habari Nyingine

Tusiandikie mate wakati wino upo. Tuombe uzima tu ushuhudie Nkana anavyong'olewa. Si unajua Nkana sio Ruvu Shooting? Maandalizi lazima yawe ya uhakika. Hiyo kutufunga 2-1 ni kama kipindi cha kwanza tu na mchezo haujaisha safari hii tukiwaalika kwetu tulipopazoea kwa Mchina
 
Ikishinda yanga inabebwa Mara upepo umepita Mara bahati imewakuta ....ila ikishinda simba ni uwezo wao hiiiiiiiiiii
Nyie manyaunyau Fc kubalini tu yanga ndo baba yenu muwe mnataka au hamtaki hakuna namna ......kama kubebwa kwani mbeleko zimeisha ombeni mubebwe na nyinyi
 
Hawalijui hilo.
 
Hamna jipya tatizo mna mpira wa Mdomoni wenzenu ni watu wa Action labda mpewe mwezi mzima ndo mtawafunga kwa Foward ya Bocco mtasubiri sana mtakuwa mnagojea tu Penati nawaambia jiandaeni kisaikolojia kufungasha virago
 
Ndio uone wanavyotapa tapa.
 
Hawa wanajitoa ufahamu tu. Juzijuzi kipindi Thomas Ulimwengu anakuja Bongo na Tp Mazembe yake walimshangilia balaa leo sisi tunataka kumuunga mkono Kessy na Nkans yake wanatuita sisi sio Wazalendo. Hopeless sana hawa majamaa.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ siku hyo nitawaunga mkono NKANA
 
Una matatizo
 
Na kw

Na kweli Shadeeya tusiandikie mate na wino ungalipo, tuombe uzima kutoka kwa Maulana ili baadae tushuhudie mbivu na mbichi
haya maneno yalianza kabla ya Ligi kuanza mkawa mnasema YANGA hatoshinda mechi hata moja na atashuka daraja sasa mnajisahaurisha simba bwanaaaaaaa (msisijisahurishe kauli zenu za mwanzo ndo zinawashitaki na kuwaponza ) hivyo YANGA lazima tutembee kifua mbele dhidi ya kikosi chenu cha Mamilioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…