Yanga ni habari Nyingine

Mtembee kifua mbele kwa kuwafunga Ruvu tena kwa kubebwa na mbeleko ya chuma!?
 
Mtembee kifua mbele kwa kuwafunga Ruvu tena kwa kubebwa na mbeleko ya chuma!?
Nimesema kama Yanga anabebwa Simba ombeni Mpakatwe ili mshinde mechi zenu na Nkana pia hahahaaa Simba hamkosi maneno hv wachezaji wenu wamerudi au ndo wanapapaswa na Nkana
 
tufunge mjadala kwa kusema YANGA ndo Baba lao Simba Jipangeni mtamaliza msimu nafasi ya Tatu na klabu bingwa Nje ahsannteni wadau wa Yanga tunasonga mbele Yanga hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee MBELE DAIMA NYUMA MWIKO
 
Soka la nchi yetu liko hali mbaya kwa kweli. Huyu anayeeongoza ligi ndio achukue ubingwa halafu awakilishe kimataifa wakati zaidi ya matokeo kiuchezaji hana tofauti na ndanda.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanune tu. Na hapo kila mechi wanabadilisha sababu. Nimeona wanasema eti jana tumebebwa. Duuuh.
😁😁😁wasubilie nao viporo vyao ili wabebwe,maana saiz wanaona aibu kusema tunanunua marefa
 
Soka la nchi yetu liko hali mbaya kwa kweli. Huyu anayeeongoza ligi ndio achukue ubingwa halafu awakilishe kimataifa wakati zaidi ya matokeo kiuchezaji hana tofauti na ndanda.
We umepata ubingwa Baada ya miaka mitano hivi na Yanga kwa miaka hiyo yote wakati unakuna nazi tumekuwa mabingwa mara 3 mfululizo na kufika makundi Caf confederation cup mara 2,bado huna adabu au ndo umbumbumbu aliousema Rage? Subilia Nkana wanakuja kukunyosha hapa hapa kwa mchina
 
Soka la nchi yetu liko hali mbaya kwa kweli. Huyu anayeeongoza ligi ndio achukue ubingwa halafu awakilishe kimataifa wakati zaidi ya matokeo kiuchezaji hana tofauti na ndanda.
SEMA SIMBA MNA HALI MBAYA MMEKUWA KAMA WEHU MNAAIMBA NYIMBO HAZIIMBIKI, MMEBAKI NA NGONJERA YA GORI LA UGENINI ETI UTASIKIA WANASEMA MATOKEO NI 2-2 HAMUONI AIBU HATA NIKIMUULIZA MWANANGU MWENYE MWAKA MMOJA ATAKWAMBIA MATOKEO NI NKANA 2-1 SIMBA KWELI NDIO MAANA MKAITWA MIKIA FC (MBUMBUMBU FC). SI MNAOJUA SOKA MNGEKUWA MNAONGOZA LIGI HATA MKISHINDA VIPORO VYENU BADO YANGA YUKO JUU YENU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…