Yanga ni habari Nyingine

Kwa MBELEKO HIZI ambazo ni nyinyi tu mnazawadiwa. Hakika Ubingwa ni wenu.
Ni Yanga tu
 
Mchezaji Beki anaudaka mpira kama Golikipa, ndani ya kumi na nane. Refa yupo mita tatu na anajitoa ufahamu.
Mechi na Simba hivyo hivyo, Mzamiru anampiga kanzu Yondani ndani ya Kumi na nane, Yondani anauzuia mpira juu ya kichwa chake kwa mkono, Refa yupo mita tatu na anajifanya hajaona.
Okwi anapachika Goli swaafi Refa anajitoa ufahamu, mpira unaendelea.
Refa anapigwa vichwa viwili mujaraab kabisa na Dante, Refa anajitoa ufahamu huku anaugulia maumivu lakini anakuwa kimya, TFF kimya.
Kama Kombe basi Chukuweni.
Timu ya Wananchi
 
Ha
Hamchelewi kwenda FIFA Kupeleka hayo madai πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…