Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
UuwiiiiMafisi Fc na mikia yao wataufyata tu hasa yule mwenye nyege ya maneno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UuwiiiiMafisi Fc na mikia yao wataufyata tu hasa yule mwenye nyege ya maneno
Unasemaje mkuu?Sikupati kabisa.Ongeza sauti.Hahahaaa. Pole sana jamaani. Naomba nikuazime zangu angalau unipate kisha nazichua. 😂😂😂 ila mjanja sana wewe.
😂😂😂 haya bana. Ntakuita tena siku ya marudio na Nkana najua utasikia tu. 😂😂Unasemaje mkuu?Sikupati kabisa.Ongeza sauti.
Dah!Unajua kule Zambia kuna mikelele ya vyura ilinivuruga sana.Anyway, ntakupigia kwenye radiocall yako mkuu.😂😂😂 haya bana. Ntakuita tena siku ya marudio na Nkana najua utasikia tu. 😂😂
Subiria makelele ya Vyura pale kwa Mchina hayo ndio yatazidi yale ya Zambia hapo nina imani hutasikia kitu tena 😀😀😀 haya bana Mkuu. Siku njema.Dah!Unajua kule Zambia kuna mikelele ya vyura ilinivuruga sana.Anyway, ntakupigia kwenye radiocall yako mkuu.
Hamchelewi kwenda FIFA Kupeleka hayo madai 😆😆😆😆😆😆Mchezaji Beki anaudaka mpira kama Golikipa, ndani ya kumi na nane. Refa yupo mita tatu na anajitoa ufahamu.
Mechi na Simba hivyo hivyo, Mzamiru anampiga kanzu Yondani ndani ya Kumi na nane, Yondani anauzuia mpira juu ya kichwa chake kwa mkono, Refa yupo mita tatu na anajifanya hajaona.
Okwi anapachika Goli swaafi Refa anajitoa ufahamu, mpira unaendelea.
Refa anapigwa vichwa viwili mujaraab kabisa na Dante, Refa anajitoa ufahamu huku anaugulia maumivu lakini anakuwa kimya, TFF kimya.
Kama Kombe basi Chukuweni.
Timu ya Wananchi
Vipi uliupata ule mzigo?Unasemaje mkuu?Sikupati kabisa.Ongeza sauti.