Wana Yanga oneni[emoji115]mwenzenu alivyoandika hapo,huyu ndo shabiki wa juu kabisa wa Utopolo ukute ni kiongozi pale klabuni,je' hali ipoje kwa wale mashabaki wa chini,wanaundezi mkubwa kiasi gani!Kama nilivyo sema kwenye post zangu za nyuma apo yanga sisi ni kama Vladimir putin
Tuna kupiga kimia kimia bila kujua
Sasa hivi makolo bado wanatuona kama mazezeta fulani hivi eti kimataifa ao ni 0,5
Ila Tukianza kufanya yetu wanageuza maneno kutoka kwenye 0,5 mpaka kwenye ubingwa wa mchongo na uchawi
Kifupi yanga tupo vizuri saana
Kuanzia mbele katikati
Ambako kuna madhaifu fulani ni nyuma ila na amini kocha atafanya yake patakaa sawa
Tariki 10 tunaanza na zalan
Na wale al hilal hawatoboi kwa wale wa echopia
Niliona mpira wao siku ile ya simba day sio wa mbaya
Una tatizo kubwa la uwasilishaji, hasa maandishi. Mwanzo nilidhani kama ni utani hivi, ila sasa naanza kuingia imani na kauli ya Haji kuhusu watu wawili tu, Mzee Sunday Manara na JK tuKama nilivyo sema kwenye post zangu za nyuma apo yanga sisi ni kama Vladimir putin
Tuna kupiga kimia kimia bila kujua
Sasa hivi makolo bado wanatuona kama mazezeta fulani hivi eti kimataifa ao ni 0,5
Ila Tukianza kufanya yetu wanageuza maneno kutoka kwenye 0,5 mpaka kwenye ubingwa wa mchongo na uchawi
Kifupi yanga tupo vizuri saana
Kuanzia mbele katikati
Ambako kuna madhaifu fulani ni nyuma ila na amini kocha atafanya yake patakaa sawa
Tariki 10 tunaanza na zalan
Na wale al hilal hawatoboi kwa wale wa echopia
Niliona mpira wao siku ile ya simba day sio wa mbaya
Yanga ni kama Vladmir Putin! Sasa unataka uelewe nini tena? Kama humfahamu Vladmir Putin, basi mtafute Joe Biden atakuambia.Wana Yanga oneni[emoji115]mwenzenu alivyoandika hapo,huyu ndo shabiki wa juu kabisa wa Utopolo ukute ni kuongozi pale klabuni,je' hali ipoje kwa wale mashabaki wa chini,wanaundezi mkubwa kiasi gani!
Putin wa mchongo,Putin gani anapigwa na wala mihogo wa Uganda Vipers.Yanga ni kama Vladmir Putin! Sasa unataka uelewe nini tena? Kama humfahamu Vladmir Putin, basi mtafute Joe Biden atakuambia.