kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kama nilivyo sema kwenye post zangu za nyuma apo yanga sisi ni kama Vladimir putin
Tuna kupiga kimia kimia bila kujua
Sasa hivi makolo bado wanatuona kama mazezeta fulani hivi eti kimataifa ao ni 0,5
Ila Tukianza kufanya yetu wanageuza maneno kutoka kwenye 0,5 mpaka kwenye ubingwa wa mchongo na uchawi
Kifupi yanga tupo vizuri saana
Kuanzia mbele katikati
Ambako kuna madhaifu fulani ni nyuma ila na amini kocha atafanya yake patakaa sawa
Tariki 10 tunaanza na zalan
Na wale al hilal hawatoboi kwa wale wa echopia
Niliona mpira wao siku ile ya simba day sio wa mbaya