chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Hakuna mpira pale. Jana walinunua mechi. Hawana tofauti na kikundi cha Ngoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mpira pale. Jana walinunua mechi. Hawana tofauti na kikundi cha Ngoma.
Enhee banaa..!! tumewanunua KMC, 5imba, hauseng ya Njombe, Jamuhuri ya Zenji, Polisi, et el. tena 5imba ndo tulimnunua kwa bei rahisi maana na yeye alipata moja..!!Hakuna mpira pale. Jana walinunua mechi. Hawana tofauti na kikundi cha Ngoma.
hata mayele anatamani angerudi, sema tu ndio hivyo, haiwezekani. jana wametufurahisha sana hawa madogo.Hakuna mpira pale. Jana walinunua mechi. Hawana tofauti na kikundi cha Ngoma.