Yanga ni kikundi cha wahuni

chamaclotus

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,079
Reaction score
2,273
Hakuna mpira pale. Jana walinunua mechi. Hawana tofauti na kikundi cha Ngoma.
 
Hakuna mpira pale. Jana walinunua mechi. Hawana tofauti na kikundi cha Ngoma.
Enhee banaa..!! tumewanunua KMC, 5imba, hauseng ya Njombe, Jamuhuri ya Zenji, Polisi, et el. tena 5imba ndo tulimnunua kwa bei rahisi maana na yeye alipata moja..!!
 
Sa na wewe si ununue mkuu mbona simple tu😂
 
Kipindi wanaishia hatua za makundi tuliwasakama sana sana..na wengine wenye akili nzuri huko utopoloni hawakushindwa kupaza sauti zao na kusema why Simba tuu why Simba tuu sisi ni wa hapahapa tuu jamani..sasa na wao kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25 wametinga...waache watambe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…