Yanga ni kubwa, ndio timu bora Tanzania na ukanda wa CECAFA

Ukiwa mjinga unaweza kuongea lolote.

Ukiachana na Al Ahly Kuna timu yoyote inayoshiriki huko champions league inayoweza kumzidi Zamalek kwenye ubora?

Leo unatamba ulikuwa champions league na kudharau shirikisho ambalo ndiyo unatambia fainali?

Ukubwa wa Simba SC kimataifa uko juu kuliko Yanga, hii ni fact na siyo opinion.
Mlijiaminisha kuwa mtavuka na kuizidi Simba SC kwenye rank, Kiko wapi? Msijipe ukubwa usio na uhalisia.
 
Africa mashariki jifunze pia kutofautisha jumuia ya Africa mashariki na Afrika mashariki
Jomba kama huelewi mambo kaa kwa kutulia. Unaujua ukanda wa CECAFA? Hapa hatuongelei mambo ya siasa tunazungumzia ukanda wa kimpira.
 
Ebu endelea kulala ili upunguze machungu ya kuishia group stage.
 
Wacha weee hahahaha
 
Jomba kama huelewi mambo kaa kwa kutulia. Unaujua ukanda wa CECAFA? Hapa hatuongelei mambo ya siasa tunazungumzia ukanda wa kimpira.
Nilimkumbusha mdau aliye uliza mazembe na Al hilal kuwa ni za wapi,je alikuwa akizungumzia ukanda upi Jumuia ya kisiasa na kiuchumi au jumuia ya kisoka.
 
Yanga wenye akili wawili tu
 
Pole sana Chief.
 
Nilimkumbusha mdau aliye uliza mazembe na Al hilal kuwa ni za wapi,je alikuwa akizungumzia ukanda upi Jumuia ya kisiasa na kiuchumi au jumuia ya kisoka.
Mimi ndie nilieuliza. Naongelea ukanda tu wakisoka. Hilal yupo cecafa same as Yanga. Labda Mazembe tu ndio hayupo.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Team pekee ukanda huu? Mazembe ni ya wapi mkuu? Hilal ni ya ukanda upi mkuu?
Ameshasema yeye kama shabiki wa Yanga. Sasa wewe unaanzaje kumbishia.

Nasemaje, nikiwa kama shabiki wa utopolo, yanga ndio ‘’kilabu” bora kabisa na namba moja duniani.
 
Yanga ni timu katika ukanda huu wa CECAFA, ndio timu pekee iliyokuwa ikishiriki
Ahaa, basi kama iliyokuwa ikishiriki, hesabu zimeshafungwa, kwa sasa icheze ligi tu kama Vital'O.
 
Mmeambiwa jaribu kujifunza. Ukubwa wenu ni upo? Umeishia makundi bado unaongea
 

Attachments

  • VID-20250118-WA0018.mp4
    3.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…