Yanga Ni timu mbovu kwa viwango vyote

Utopolo ni klabu pekee duniani inayotumia jezi zile zile za msimu uliopita.Yaani wamezidiwa na Jkt, kmc na hata stand United ya daraja la pili.
 
Yanga ni genge la wahuni pale hakuna team
 
Yanga wamesajili magalasa na kuacha wachezaji wa maana wa msimu uliopita.
 
Yanga wamesajili magalasa na kuacha wachezaji wa maana wa msimu uliopita.
π‘Όπ’‹π’‚π’Žπ’–π’π’π’‚ π‘»π’Œ π’Žπ’‚π’”π’•π’†π’“?
 
Yanga wanatakiwa kua watulivu tu na kuliacha benchi la ufundi lifanye kazi yake, kwa nnavyojaribu kuwaona wanahitaji kufahamiana zaidi na ushirikiano wa hali ya juu. Wana wachezaji wazuri.tu Simba fan
 
naikumbuka yanga ya msuva,kamusoko,ngoma,chirwa tukikutana nao tumbo linauma,hawa wachumba tu
 
First eleven ya Yanga inatakiwa kuwa Farouk, Kibwana,Yassin,Ninja, Nondo, Mauya, Tonombe, Haruna,Feisal,Sarpong, Kisinda..timu ikipata points ikatambike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…