Yanga ni timu ndogo inayocheza kwa kukamia

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Utashangaa vitimu vidogo vinavyokamia timu kubwa.Huwa inafika wakati kukamia kwao kunajibu.

Naifananisha hii timu na vitimu vidogo jinsi vinavyokamia mechi. Ndivyo hata inavyoonekana nchi nyingine.Mfano Wacongo wanajua yanga ni katimu kadogo kanakokania sana mechi.

Inapokutana na vitimu vidogo vyenzake,unaona inapata taabu sana kushinda. Mara nyingi inabidi waamuzi wahusike.Au wakati mwingine wanawatumia wachezaji wa timu pinzani wenye kadi za uanachama wa timu yao.

Upande mwingine wamefanya kampeni ya kugawa kadi za bure kwa waganga wote wa jadi.Wanajua lini wataenda kuwatumia. Inasemekana wamefanya kampeni ya kugawa kadi kwa waganga hadi Congo.

Msiige kunya kwa tembo.Nendeni taratibu.
 
Mangungu endelea kuburuza hawa Mbumbumbu next time waletee Kingwendu usitumie nguvu sana
 
WanaSimba wengi ni dhahiri Sasa hasira zimewajaa mno! Wanatia huruma! Kombe hawana, kocha bomu, wachezaji wazee, pesa hawana, Mashabiki mbumbumbu!

Hivi boli la kitabu linalopigwa Yanga Azam wanarusha live, ukamiaji uko wapi? Yanga Kuna vita ya namba Kila mtu anaona. Toa chuma weka chuma!

Sipati picha Yanga ikibeba Tena kombe la ligi mwakani mara ya tatu nyie Tatu Mzuka fc mtalazwa kabisa!

Tarehe 16 ni kipigo tu Morisson karudi mtamkoma! Mayele akiwakosa Simba nahamia Geita Gold fc!
 
Maumivu yakizidi muone daktari.
 
Ngedere wewe
 
Kuna watu mnajitafutia msongo wa mawazo kwa lazima...
 
We nawe ndo hamna kitu kabisa asa morisson ana mpira gani sku hz,zaid ya kubadili bleach tu
 
Ila hawa ndugu zetu kolo wana shida. Leo nimelisikia kolo moja linasema eti kwa mpira wa jana wa yanga siku ya derby atakula nyingi. Nkacheka sana.

Anyway, jpili sio mbali. Tuombe tu Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu na kujaalia afya njema atujalie uhai na uzima ili siku hiyo ifike tushuhudie kipute.
 
Yaani unapigwa mara tatu mfululizo halafu unasema unakamiwa yaani tar 16 unapasuka na Azam anakupasua.
 
Uzi uloandikwa na mbumbumbu unajulikana tu
 
Hivi Wanasimba mmepatwa na Nini mbona ghafla hivi Jamani? Sisi mtukati tunaumizwa Sana na maoni kama haya yanayoshambulika kirahisi. Hebu leteni hoja ngumu tuchambue basi siyo hizi za kijungujiko.
Scars, Capo Delgado, Calpana mna kitu cha kufanya na hawa ndugu zenu ni kama kuna kitu hakiko Sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…