Utashangaa vitimu vidogo vinavyokamia timu kubwa.Huwa inafika wakati kukamia kwao kunajibu.
Naifananisha hii timu na vitimu vidogo jinsi vinavyokamia mechi. Ndivyo hata inavyoonekana nchi nyingine.Mfano Wacongo wanajua yanga ni katimu kadogo kanakokania sana mechi.
Inapokutana na vitimu vidogo vyenzake,unaona inapata taabu sana kushinda. Mara nyingi inabidi waamuzi wahusike.Au wakati mwingine wanawatumia wachezaji wa timu pinzani wenye kadi za uanachama wa timu yao.
Upande mwingine wamefanya kampeni ya kugawa kadi za bure kwa waganga wote wa jadi.Wanajua lini wataenda kuwatumia. Inasemekana wamefanya kampeni ya kugawa kadi kwa waganga hadi Congo.
Msiige kunya kwa tembo.Nendeni taratibu.