justuce John
JF-Expert Member
- Feb 20, 2017
- 207
- 222
Eneo lilelile lililonyang'anywa ndo wanapewa tena!!! Wanawafanya WATANZANIA WASAHAULIFU SANA!!!BASHITE anawapa Yanga eneo ambalo walikwisha pewa na Manji.
Paul Makonda anataka tu political mileage
Siipendi hii dhana! Afu hivi timu haiwezi kuruhusiwa kubadili rangi ya jezi? Huwa napata mtihani kuvaa jezi ya timu yangu!Yanga=CCM
Of all the people kweli Bashite aipe Yanga eneo?BASHITE anawapa Yanga eneo ambalo walikwisha pewa na Manji.
Paul Makonda anataka tu political mileage
kwani anayewapa kasema anawapa eneo la serikali?!?,labda anawapa enoe lake, after all yule ni RC anaweza akatoa eneo kwa shughuli ya uwekezaji. mbona ANGLOGOLD ASHANTI, BARICK walipewa maeneo!!!?, sasa akipewa yanga unaumia nini?!!!?Mh makonda ametoa ahadi kwa yanga kuwapatia eneo la kujenga uwanja kigamboni.
1.Najiuliza yanga ni taasisi ya serikali?
2.Mamlaka ya kuipa eneo mh Rc anayatoa wapi?
3.kuna uhusiano gani kati ya yanga na ccm? coz kikao kimekuwa km kampeni ya kugombea madaraka.