Yanga ni timu ya serikali hadi wapewe eneo bure bila utaratibu?

Yanga ni timu ya serikali hadi wapewe eneo bure bila utaratibu?

Nafikili umesahau kuwa simba imetoka ndani ya yanga.
Na yanga ina wenyewe
 
Kumbe Yanga Ina share uwanja was Bunju. Asante JK kutufumbua macho.😀😀😀
 
Mh makonda ametoa ahadi kwa yanga kuwapatia eneo la kujenga uwanja kigamboni.
1.Najiuliza yanga ni taasisi ya serikali?
2.Mamlaka ya kuipa eneo mh Rc anayatoa wapi?
3.kuna uhusiano gani kati ya yanga na ccm? coz kikao kimekuwa km kampeni ya kugombea madaraka.
kwani anayewapa kasema anawapa eneo la serikali?!?,labda anawapa enoe lake, after all yule ni RC anaweza akatoa eneo kwa shughuli ya uwekezaji. mbona ANGLOGOLD ASHANTI, BARICK walipewa maeneo!!!?, sasa akipewa yanga unaumia nini?!!!?
 
Back
Top Bottom