Yanga ni underdog kwa Al Ahly

Yanga ni underdog kwa Al Ahly

iyokichiku

Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
36
Reaction score
70
Hivyo ndivyo ilivyo na mnapaswa kujiandaa kisaikolojia katika mchezo huo kwani mtapigwa goli za kutosha.

Hiyo misuli inaweza anguka uwanjani na kupata aibu kubwa.

Huyo kijana msemaji wenu amefanya kosa kubwa Sana kuwaelekeza kuvaa misuli.

Mashabiki chondechonde msifuate maelekezo hayo.
 
Al Ahly huyu huyu aliyetoa sare Jana na Smouha au yupi?

Yanga tushindwe wenyewe tu hiyo tarehe mbili
 
Hivyo ndivyo ilivyo na mnapaswa kujiandaa kisaikolojia katika mchezo huo kwani mtapigwa goli za kutosha.

Hiyo misuli inaweza anguka uwanjani na kupata aibu kubwa.

Huyo kijana msemaji wenu amefanya kosa kubwa Sana kuwaelekeza kuvaa misuli.

Mashabiki chondechonde msifuate maelekezo hayo.
hata jwaneng alikuwa underog kwa wydad
 
It's better to keep your mouth shut and appear stupid than open it and remove all doubt
Mark Twain
 
Back
Top Bottom