Yanga ni wanyonyaji sana

Hersi ni wakala wa shetani...hata kama Bacca katoka alikotoka lakini katua klabu kubwa ya Yanga...unampa 1.5 kweli?....
 
Msiwe mnakurupuka kufananisha wachezaji wa ndani na wa kigeni, mchezaji wa kigeni anakuja akiwa tayari na value husika, hawa wachezaji wa ndani wanapanda thamani wakiwa ndani ya club.

Mfano bacca wakati anakuja yanga kutokea KMKM mshahara wa 1.5 ulikua mkubwa kwake na alikua tayari kusaini miaka zaidi ya ile aliyosaini. Sasa hivi kiwango kimepanda akiwa ndani ya mkataba hivyo ni kazi ya club kuona imuongezee mshahara ili kumlinda au isubiri mkataba uishe.

Huwezi kumlipa 10m mchezaji ambae hana profile ya kulipwa hivyo, engineer yupo sahihi.
 
Wamekunyonya wapi mkuu maana hata vijana sasa hivi wanapenda kunyonya nyonya sana!
 
Hapo ni sawa ndo maana nimesema kwenye mkataba mpya lazima atakua ame negotiate vizuri...

Ndo maana timu hua zinaboresha maslahi ya mchezaji hata kabla mkataba wa awali haujaisha....rejea ya maxi nzegeli... Yanga waliboresha mkataba baada ya Kuona dogo anakiwasha mapema tu

Ukizembea unawapa mwanya timu nyingine kukupokonya mchezaji wako
 
Anazeeka vibaya..ila tumvumilie na tumpende tuu tusimtenge 😆 😆 😆 😆 huyo sio medical doctor...ni Doctor wa falsafa....
 
Ndugu mbumbumbu lazima utambue mikataba ni makubalianao ya pande mbili na hakuna kulazimishana. Kama unahisi thamani Yako ni kubwa kuliko malipo unakataa ku sain na una sepa.
Wachezji wageni wanalipwa vizuri kwakua wana wasimamizi werevu katika eneo ilo.

Kwenye soka ni pata potea, kiwango Cha mchezaji kikiwa Bora ni faida kwa klabu na kikiwa kibovu ni hasara kwa klabu haijalishi unalipwa fedha nyingi au ndogo.

Hakuna anaye mzulumu mwenzake kwakua hakuna anaye jua kiwango chako Cha baadae.
 
Lipia tangazo
 
Inawezekana kuwa ni wanyonyaji,ila wanyonyaji wa simba pekee🤣🤣
 
We kweli pwilo!

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mchezaji anakuwa na thamani in two ways
Kwanza kwa club anayoichezea
Pili thamani ya mchezaji husika yaani mpaka mchezaji anasajiliwa yanga au simba ina maana ana sifa na profile za kucheza team hyo kwa hyo club inapaswa impe thamani kutokana na thamani na ukubwa wa club husika hata ulaya huwezi kusema real Madrid hawamlipi vizuri vinicius jr kwasababu watu walikuwa hawamjui au yule endrick wa Brazil akifika real Madrid lazima mshahara upande yaani mchezaji hata awe na kiwango na profile kubwa hawezi akalipwa hela kubwa ihefu au namungo na coastal union kwasababu hazina uwezo huo.
 
Acha kufutilia mishahara ya wanaume wenzio katafute pesa wewe
 
Bacca hakustahili kulipwa hiyo hela wakati wakina Morrison walikua hawachezi mechi ba walikua wanazoa 15m Ki alikaa bench msimu uliopita alicheza mechi chache alikua anazoa 15m nadhani hii mambo ya kuwalipa kiduchu wachezaji wa ndani inapoteza morali huku wakitupa pesa nyingi kwa Wachezaji wa Nje wengine viwango vyao vya kawaida tuu..
 
Anazeeka vibaya..ila tumvumilie na tumpende tuu tusimtenge [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] huyo sio medical doctor...ni Doctor wa falsafa....
Kweli kabisa anaonekana hayupo sawa.
 
Hersi ni wakala wa shetani...hata kama Bacca katoka alikotoka lakini katua klabu kubwa ya Yanga...unampa 1.5 kweli?....
Yule ni mafia kweli kweli.
 
Calm down sio mimi nilie lalamika ni baba yake mzazi mimi nimewasilisha mada tu acha kukurupuka.
 
Wenye akili ni yanga waliomleta mchezaji kutoka English premier league Newcastle United kwa kumlipia ticket ya ndege.
Uyo mchezaji alisajiliwa au akusajiliwa? Na vipi manzoki alisajiliwa kwenye mkutano wa kampeni?
 
Ibra ameanza kuwa tegemeo mara tu aliposajiliwa Kwa mshahara huo wa 1.5. + Bonuses au amewika katikati ya Mkataba?
Thamani inakuwa kwa team au kwa mchezaji brand ya yanga ni kubwa hivyo inatakiwa iendane na uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…