Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Docta aliyesoma miaka 6 anapewa less than that1.5 M plus posho & bonus unasema ndogo wakati serikali imetoa taarifa kuwa pato la kila mtanzania ni sh 2.8 M kwa mwaka.
Hapo ni sawa ndo maana nimesema kwenye mkataba mpya lazima atakua ame negotiate vizuri...Unajua huyo Bacca kaja Yanga akiwa si star na haikutarajiwa kuwa hivyo. Yeye alinegotiate mshahara wa 1.5m alionao nyingi sana ukilinganisha na hela ya KMKM. Kumbuka hata huko EPL etc hawa akina Saka walikuwa wanalipwa chini ya 50k pw mpaka tukawa tunashangaa. Ukishine ndo unapata power ya negotiation. Hakuna klabu duniani inafanyaga ujinga wa kukurundikia mshahara ukiwa unproven. Hapa Mikia FC waulize Duchu analipwa ngapi ndo uje.
Anazeeka vibaya..ila tumvumilie na tumpende tuu tusimtenge 😆 😆 😆 😆 huyo sio medical doctor...ni Doctor wa falsafa....Dokta lakini una emotions instability na unatakiwa uwahi kwa psychiatrist kwasababu mganga hajigangi kuna siku Albert einstein aliulizwa how many miles are in kilometres akajibu I don't always deal with facts I'm dealing with reasoning because facts even a fool can memorize it and provide a good answers.
Lipia tangazoHabari za weekend wadau,
Tukiwa tunasubiria burudani kutoka Benjamin william mkapa kati ya yanga na al ahly na kule Botswana kati ya jwaneng galaxy na simba nimeona mitandaoni mahojiano ya baba mzazi wa yanga Ibrahim bacca na mwandishi inafikirisha na kusikitisha sana.
Baada ya kumsikiliza baba yake Ibrahim bacca kutoka visiwa vya marashi na karafuu nimeamini yule engineer hersi ni mafia kweli sema anajificha kwenye kivuli cha matokeo na mwenendo wa yanga ila yule ni mafia wa kuotea mbali.
Feisal salum alisema ili arudi yanga labda engineer hersi aondoke ila mashabiki wakamshambulia bila kujua uhalisia ila feisal hakukurupuka kwasababu feisal anaijua yanga kuliko engineer hersi alikuwepo kipindi yanga inapitia kipindi kigumu na alikaa licha ya hali mbaya ya team.
Nimemsikiliza baba yake mzazi wa mchezaji Ibrahim bacca anasema mwanawe alikuwa analipwa 1.5 million kabla ya ku renew mkataba mpya kweli kupambana kote kule kumbe mshahara wenyewe wanamlipa kama wa coastal union ila engineer hersi ni mafia sana kwa kuwa mashabiki wa yanga wanaangalia matokeo tu hawawezi kuliona hlo na hata malipo ya sasa inaonekana sio mazuri japo mzee hajaweka wazi ni kiasi gani analipwa baada ya mkataba mpya ila ni kama anasikitika na haridhishwi na malipo hayo baada ya kukataa kujibu swali hlo.
Ukiangalia alivyoondoka yannick bangala djuma shaban na saido ntibanzonkiza utaona umafia wa engineer hersi hata juzi kati mayele alihojiwa kuhusu kurudi tena yanga alijibu mimi na yanga tumemalizana yaani hata akirudi Tanzania sio kuichezea yanga unaona tatizo lililopo la engineer hersi na hata fabrice ngoma wakati amepata dili la kwenda yanga aliwatafuta wa Congo man wenzake pale yanga wakamwambia huku hakufai kama una sehemu nyingine we nenda ila sio yanga ndio ukasikia watu wanalalamika wameibiwa mchezaji airport.
Stephan ki aziz kashaona pale yanga ni wasanii sasa hivi anazungushana nao kwenye mkataba wakati huo max zingeli naye akiwa hafurahishwi na engineer hersi alivyo msanii kwa kushindwa kutimiza mahitaji yake kwa wakati na kuanza kuangalia uwezekano wa kuondoka clubuni hapo engineer hersi ni mafia haswa kwasababu yanga imemgaragaza mtani na kuchukua NBC premier league na kufanya vizuri Caf confederation cup mashabiki hawawezi kukubali wala kuamini umafia wa GSM wao wanaangalia matokeo tu kweli Ibrahim bacca ni wakulipwa 1.5 million na inaonekana wapo wengi wanaopewa pesa za housegirl pale yanga.
NB: kwakuwa jamii forum ina hifadhi kumbukumbu ipo siku umafia wa engineer hersi utakuwa hadharani pale yanga na tutarudi hapa kuhitimisha because time is the best teacher.
Inawezekana kuwa ni wanyonyaji,ila wanyonyaji wa simba pekee🤣🤣Habari za weekend wadau,

We kweli pwilo!Habari za weekend wadau,

Mchezaji anakuwa na thamani in two waysMsiwe mnakurupuka kufananisha wachezaji wa ndani na wa kigeni, mchezaji wa kigeni anakuja akiwa tayari na value husika, hawa wachezaji wa ndani wanapanda thamani wakiwa ndani ya club.
Mfano bacca wakati anakuja yanga kutokea KMKM mshahara wa 1.5 ulikua mkubwa kwake na alikua tayari kusaini miaka zaidi ya ile aliyosaini. Sasa hivi kiwango kimepanda akiwa ndani ya mkataba hivyo ni kazi ya club kuona imuongezee mshahara ili kumlinda au isubiri mkataba uishe.
Huwezi kumlipa 10m mchezaji ambae hana profile ya kulipwa hivyo, engineer yupo sahihi.
Acha kufutilia mishahara ya wanaume wenzio katafute pesa weweHabari za weekend wadau,
Tukiwa tunasubiria burudani kutoka Benjamin william mkapa kati ya yanga na al ahly na kule Botswana kati ya jwaneng galaxy na simba nimeona mitandaoni mahojiano ya baba mzazi wa yanga Ibrahim bacca na mwandishi inafikirisha na kusikitisha sana.
Baada ya kumsikiliza baba yake Ibrahim bacca kutoka visiwa vya marashi na karafuu nimeamini yule engineer hersi ni mafia kweli sema anajificha kwenye kivuli cha matokeo na mwenendo wa yanga ila yule ni mafia wa kuotea mbali.
Feisal salum alisema ili arudi yanga labda engineer hersi aondoke ila mashabiki wakamshambulia bila kujua uhalisia ila feisal hakukurupuka kwasababu feisal anaijua yanga kuliko engineer hersi alikuwepo kipindi yanga inapitia kipindi kigumu na alikaa licha ya hali mbaya ya team.
Nimemsikiliza baba yake mzazi wa mchezaji Ibrahim bacca anasema mwanawe alikuwa analipwa 1.5 million kabla ya ku renew mkataba mpya kweli kupambana kote kule kumbe mshahara wenyewe wanamlipa kama wa coastal union ila engineer hersi ni mafia sana kwa kuwa mashabiki wa yanga wanaangalia matokeo tu hawawezi kuliona hlo na hata malipo ya sasa inaonekana sio mazuri japo mzee hajaweka wazi ni kiasi gani analipwa baada ya mkataba mpya ila ni kama anasikitika na haridhishwi na malipo hayo baada ya kukataa kujibu swali hlo.
Ukiangalia alivyoondoka yannick bangala djuma shaban na saido ntibanzonkiza utaona umafia wa engineer hersi hata juzi kati mayele alihojiwa kuhusu kurudi tena yanga alijibu mimi na yanga tumemalizana yaani hata akirudi Tanzania sio kuichezea yanga unaona tatizo lililopo la engineer hersi na hata fabrice ngoma wakati amepata dili la kwenda yanga aliwatafuta wa Congo man wenzake pale yanga wakamwambia huku hakufai kama una sehemu nyingine we nenda ila sio yanga ndio ukasikia watu wanalalamika wameibiwa mchezaji airport.
Stephan ki aziz kashaona pale yanga ni wasanii sasa hivi anazungushana nao kwenye mkataba wakati huo max zingeli naye akiwa hafurahishwi na engineer hersi alivyo msanii kwa kushindwa kutimiza mahitaji yake kwa wakati na kuanza kuangalia uwezekano wa kuondoka clubuni hapo engineer hersi ni mafia haswa kwasababu yanga imemgaragaza mtani na kuchukua NBC premier league na kufanya vizuri Caf confederation cup mashabiki hawawezi kukubali wala kuamini umafia wa GSM wao wanaangalia matokeo tu kweli Ibrahim bacca ni wakulipwa 1.5 million na inaonekana wapo wengi wanaopewa pesa za housegirl pale yanga.
NB: kwakuwa jamii forum ina hifadhi kumbukumbu ipo siku umafia wa engineer hersi utakuwa hadharani pale yanga na tutarudi hapa kuhitimisha because time is the best teacher.
Calm down sio mimi nilie lalamika ni baba yake mzazi mimi nimewasilisha mada tu acha kukurupuka.Hakuna ulichoandika cha maana zaidi ya chuki zako kwa Hersi.
1) Bacca analipwa kile ambacho yeye binafsi kaona kina mtosheleza lakini wewe unakuja kupiga kelele utafikiri huyo Bacca ni mtoto mdogo, au kama vile hana mdomo au kama vile analazimishwa. Laiti kama unachongea wewe kingekuwa ni sahihi basi Bacca asingejipiga kitanzi cha miaka zaidi ya mitatu Yanga. Hiyo shida ya Hersi Bacca hakuona ila wewe uliyekuwa nje unajifanya mjuaji.
2) Feisal alisaini mkataba kwa mapenzi yake hakushikiwa bunduki kusaini mkataba, shida ni wewe na huyo Feisal wako wote mna mambo ya uswahili. Unasaini mkataba kwa makubaliano halafu baada ya kusikia mwenzako unayefanya nae kazi analipwa zaidi yako unaanza kuwa na wivu wakati kila mmoja alipatanisha mshahara wake kwa utashi wake.
Uyo mchezaji alisajiliwa au akusajiliwa? Na vipi manzoki alisajiliwa kwenye mkutano wa kampeni?Wenye akili ni yanga waliomleta mchezaji kutoka English premier league Newcastle United kwa kumlipia ticket ya ndege.