Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Vilabu bora Barani Africa :
1. [emoji1093] Al Ahly Cairo
2. [emoji1173] Wydad Casablanca
3. [emoji1241] Young Afticans
4. [emoji1093] Pyramids
5. [emoji1221] Mamelodi Sundowns
6. [emoji1173] FAR Rabat
7. [emoji1173] Raja Casablanca
8. [emoji1093] Zamalek
9. [emoji1026] CR Belouizdad
Shirika la kukusanya takwimu Duniani kwenye soka lenye makao yake makuu Nchini Switzerland [emoji1237] 'International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) limetangaza top (20) ya vilabu bora Africa kuanzia (1 Sept 2022 - 31 October 2023 ambavyo ni hivyo juu [emoji867]
Kwa mujibu (IFFHS) hukusanya points kupitia mashindano yote rasmi, yaani Ligi kuu, CAF na FA cup za Nchi husika kupata list ya viwango vya ubora kwa mwaka husika.