Yanga ni ya tatu kwa ubora Afrika

Yanga ni ya tatu kwa ubora Afrika

Tafsiri ya Emoji ipo kwa aliyezitengeneza na aliyezitengeza ametoa ufafanuzi wa maana ya kila emoji na hiyo ni Tusi period..
Screenshot_20231104-144205_1.jpg

Umeona maana hizo hakuna tusi apooo ni tafsiri za watu tu mkuu
 
Vilabu bora Barani Africa :

1. [emoji1093] Al Ahly Cairo
2. [emoji1173] Wydad Casablanca
3. [emoji1241] Young Afticans
4. [emoji1093] Pyramids
5. [emoji1221] Mamelodi Sundowns
6. [emoji1173] FAR Rabat
7. [emoji1173] Raja Casablanca
8. [emoji1093] Zamalek
9. [emoji1026] CR Belouizdad

Shirika la kukusanya takwimu Duniani kwenye soka lenye makao yake makuu Nchini Switzerland [emoji1237] 'International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) limetangaza top (20) ya vilabu bora Africa kuanzia (1 Sept 2022 - 31 October 2023 ambavyo ni hivyo juu [emoji867]

Kwa mujibu (IFFHS) hukusanya points kupitia mashindano yote rasmi, yaani Ligi kuu, CAF na FA cup za Nchi husika kupata list ya viwango vya ubora kwa mwaka husika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kupata vichekesho kama hivi tubonye ngapi?
 
Maadui wakubwa wa Taifa letu ni.

"Umasikini.
Ujinga na
Maradhi"

IRP Baba wa Taifa
Julius Kambarage Nyerere
 
Back
Top Bottom