Yanga ni ya tatu kwa ubora Afrika

Kwani,mnatafsirije hivyo vidole mpaka kikinyoshwa hivi,umetukanwa? Kuigaiga nako kubaya
Hili nimeshalijibu kuwa Tafsiri ya emoji ya Vidole ipo kwa aliyevianzisha, maana ya Tafsiri za emoji zote zipo kwa aliyebuni Emoji hizo na nilichokifanya nimeonyesha maana kutokana na mbunifu alimaanisha nini,...So inabidi maswali yote uyaelekeze kwa wabunifu wa Emoji...
 
USM Algiers ya ngapi ?
 
Ufatilie wapi ??? Al ahly hana uwanja na anatumia uwanja wa kukodi kama ilivyo kwa simba na yanga
Alaah
Ngoja nifafilie
Nitakuletea ripotπŸ€£πŸ˜‚
Afu kama wanakodi inamaanisha Wana hela hao dollar, pounds
Yangah ni maskiniπŸ˜‚πŸ€£
Wanakodije uwanja?
Au boss wao gsm ashafanya magendo ?so analipa?
 
Alaah
Ngoja nifafilie
Nitakuletea ripot[emoji1787][emoji23]
Afu kama wanakodi inamaanisha Wana hela hao dollar, pounds
Yangah ni maskini[emoji23][emoji1787]
Wanakodije uwanja?
Au boss wao gsm ashafanya magendo ?so analipa?
Sijui unaongea vitu gani ?? Pale uwanja wa taifa yanga anacheza bure ??? Unajua kwamba kila mechi ambayo yanga anatumia uwanja wa azam complex analipia million 5 per match?
 
Sijui unaongea vitu gani ?? Pale uwanja wa taifa yanga anacheza bure ??? Unajua kwamba kila mechi ambayo yanga anatumia uwanja wa azam complex analipia million 5 per match?
OkπŸ‘Œ
Wamepewa ekari za kutosha kigamboni,jirani na huyo giesiemuu
Mbona hawajengi?
Mbona yeye kajenga hekalu hapohapo kigamboniπŸ€£πŸ˜‚
Si juzi kamfanyia mkewe birthday hapo kigambonino?
Kwenye hekalu lake like?
 
Ok[emoji108]
Wamepewa ekari za kutosha kigamboni,jirani na huyo giesiemuu
Mbona hawajengi?
Mbona yeye kajenga hekalu hapohapo kigamboni[emoji1787][emoji23]
Si juzi kamfanyia mkewe birthday hapo kigambonino?
Kwenye hekalu lake like?
Kwani hiyo ni project ya siku moja ??? Kwahiyo GSM asifanye mambo yake eti sababu ya yanga?? Ajenge hata majumba 500 hapo kigamboni sisi mashabiki wa yanga tunataka kuiona yanga inafanya vizuri basi maisha yake binafsi sisi hayatuhusu.
 
Walipewa 2017πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘Œ
 
Alaah
Ngoja nifafilie
Nitakuletea ripot[emoji1787][emoji23]
Afu kama wanakodi inamaanisha Wana hela hao dollar, pounds
Yangah ni maskini[emoji23][emoji1787]
Wanakodije uwanja?
Au boss wao gsm ashafanya magendo ?so analipa?
Kwani Yanga na Simba wanatumia bure pale kwa Mkapa au Azam?
 
Alaah
Ngoja nifafilie
Nitakuletea ripot[emoji1787][emoji23]
Afu kama wanakodi inamaanisha Wana hela hao dollar, pounds
Yangah ni maskini[emoji23][emoji1787]
Wanakodije uwanja?
Au boss wao gsm ashafanya magendo ?so analipa?
Nenda kanyonye Ballcone mpira hujui
 
Achana na ahly mwambie akuoneshe uwanja wa Ac Milan au wa inter Milan
Acheni kujifariji. Hao Ac Milan na Inter kila mmoja ana training center ya kisasa kuliko hata Azam Complex.Sasa nyinyi hata pa kufanyia training mnakodi halafu mnajifariji kwa kujilinganisha na akina Ac Milan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…