Ule mchezo wenu mnaosifiwa sana na wachambuzi waliozoea kuangalia mieleka na rugby, mkicheza mechi za kimataifa mtakufa sana kwa penalty na red card.
Hapa kwetu waamuzi wanawabeba na hata wakiwaadhibu mnalalamikia TFF mwaka mzima.
Kifupi ni kwamba mnavimbishwa kichwa na watu wasiojua mpira wakiwa wamejaa kwenye vyombo vya habari mnashindwa kucheza mpira na kukamia kuumiza wachezaji.
Msipojifunza kucheza mpira huko nje hakuna wa kutupia lawama kama mlivyozoea hapa kwetu kila siku TFF mara waamuzi wakati waamuzi wanawabeba sana