Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mikia wote mmeamua kupambana na Yanga kwenye mitandao ya kijamii kuendeleza alipoishia manara 😀,kila kukicha mikia ni kuanzisha thread za kuhusu Yanga tu,mtammiss sana manara 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waeleze hao UTO FC, futbori sio mielekaUle mchezo wenu mnaosifiwa sana na wachambuzi waliozoea kuangalia mieleka na rugby, mkicheza mechi za kimataifa mtakufa sana kwa penalty na red card.
Hapa kwetu waamuzi wanawabeba na hata wakiwaadhibu mnalalamikia TFF mwaka mzima.
Kifupi ni kwamba mnavimbishwa kichwa na watu wasiojua mpira wakiwa wamejaa kwenye vyombo vya habari mnashindwa kucheza mpira na kukamia kuumiza wachezaji.
Msipojifunza kucheza mpira huko nje hakuna wa kutupia lawama kama mlivyozoea hapa kwetu kila siku TFF mara waamuzi wakati waamuzi wanawabeba sana
Na mpili[emoji23]kushinda kwa kutegemea fluk huwezi kufika mbali
We are next above level.. Tunatoa Ru ushauriMnafuatilia nn wakati timu lenu halimo?
Mkuu mbona mmekimbia kagame 🤣,au ndio mmeogopa mieleka ya Wananchi?Waeleze hao UTO FC, futbori sio mieleka
Wanaojihusisha na mpira wa miguu .. [emoji23][emoji23]Yanga Ni Genge La Wahuni Wachache [emoji58][emoji52]
Hivi yanga iliwahi kucheza na El-ahly?Kuna siku utapigwa red zaidi ya moja.Labda usikutane na El -ahly
Hivi kumbe Yanga wanabebwa sana...!Ule mchezo wenu mnaosifiwa sana na wachambuzi waliozoea kuangalia mieleka na rugby, mkicheza mechi za kimataifa mtakufa sana kwa penalty na red card.
Hapa kwetu waamuzi wanawabeba na hata wakiwaadhibu mnalalamikia TFF mwaka mzima.
Kifupi ni kwamba mnavimbishwa kichwa na watu wasiojua mpira wakiwa wamejaa kwenye vyombo vya habari mnashindwa kucheza mpira na kukamia kuumiza wachezaji.
Msipojifunza kucheza mpira huko nje hakuna wa kutupia lawama kama mlivyozoea hapa kwetu kila siku TFF mara waamuzi wakati waamuzi wanawabeba sana
Mkuu mbona mmekimbia kagame [emoji1787],au ndio mmeogopa mieleka ya Wananchi?
Yanga ndo timu kubwa mbovu kuwaikutokea Africa.
Simba imecheza michezo mingi ,imefika robo fainali champions league ,imechukua kombe la VPL ,imechukua Azam Cup ,timu zisizo na vikombe vya maana mwaka huu mnatakiwa mjitahidi huko kwenye mabonanzaMkuu mbona mmekimbia kagame [emoji1787],au ndio mmeogopa mieleka ya Wananchi?
mikia yanagonga yanarudiSimba imecheza michezo mingi ,imefika robo fainali champions league ,imechukua kombe la VPL ,imechukua Azam Cup ,timu zisizo na vikombe vya maana mwaka huu mnatakiwa mjitahidi huko kwenye mabonanza
Sisi level zetu nikupambana na vitimu vikubwa kama Al Ahly ,Mazembe,Wydad,siyo timu kama Yanga ,mnafosi kujipendekeza kwetu