Yanga niliwahi kuwaambia mechi za kimataifa mtaumia sana kutokana na kucheza mieleka

Mikia wote mmeamua kupambana na Yanga kwenye mitandao ya kijamii kuendeleza alipoishia manara πŸ˜€,kila kukicha mikia ni kuanzisha thread za kuhusu Yanga tu,mtammiss sana manara 🀣
 
Waeleze hao UTO FC, futbori sio mieleka
 
Reactions: mmh
Hivi kumbe Yanga wanabebwa sana...!
 
yanga jana wamechezeshwa na waamuzi wa kimataifa na sio wale wanaotegemea bahasha za GSM na siku mechi ya simba na yanga itakapochezeshwa na waamuzi toka nje itabidi tutegemee kadi nyingi nyekundu na penati za kumwaga kwa sababu yanga haichezi mpira bali inacheza judo
 
Yanga ndo timu kubwa mbovu kuwaikutokea Africa.
 
Tungekuja huko jana mngepata sababu ya kulalamikia.Hamchelewi kusema Mo kanunua waamuzi kwa vile hii huenda ni tabia yenu ndiyo maana waamuzi wa ndani wanawabeba sana
Mkuu mbona mmekimbia kagame [emoji1787],au ndio mmeogopa mieleka ya Wananchi?
 
Mkuu mbona mmekimbia kagame [emoji1787],au ndio mmeogopa mieleka ya Wananchi?
Simba imecheza michezo mingi ,imefika robo fainali champions league ,imechukua kombe la VPL ,imechukua Azam Cup ,timu zisizo na vikombe vya maana mwaka huu mnatakiwa mjitahidi huko kwenye mabonanza
 
Simba imecheza michezo mingi ,imefika robo fainali champions league ,imechukua kombe la VPL ,imechukua Azam Cup ,timu zisizo na vikombe vya maana mwaka huu mnatakiwa mjitahidi huko kwenye mabonanza
mikia yanagonga yanarudi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…