Kweli noma Unakumbuka hiki kipigo?AZAM 5 YANGA 3?kweli noma mkuu
Mkuu labda wachezee Yanga B..nafasi ilikuwa moja
Mkuu labda wachezee Yanga B..nafasi ilikuwa moja
Kingine tuwemakini hawa jamaa n mitaji ya kocha na viongozi pesa inayose
Wa awalipekeeyao..mmemwona zuttah beki wa ghana kipi kipya??anacho
Kuna uwezekano Coutinho na Zuttah wakatemwa...
Uzuri wa Yanga mpira wao huwa unaishia magazetini na kwenye mitandao ya jamii tu. Wakiwa uwanjani ni bwabwa tu kwa Simba na Azam, hata wafanyeje hali ni ile ile.
Yule zutah bora oscar joshua. Hahahhaha
Yaani unoumer upo wapi ??? Hawa kwa domo tuu hata chupaki haoni ndani...!!
Hivi yule bondia wa Cameroon si kelele zilikuwa hizi hizi ili mradi cameroon basi wanasomba somba tuu. Ipo kazi timu inasajili kila week, na kuacha. Ohh beki mkali wa ghana, mara yule mpiga ngoma wa Samba JAJA....yaani ni vichekesho...
Eti alimkata Drogba..... !!
Uzuri wa Yanga mpira wao huwa unaishia magazetini na kwenye mitandao ya jamii tu. Wakiwa uwanjani ni bwabwa tu kwa Simba na Azam, hata wafanyeje hali ni ile ile.
Simba inayocheza mpira uwanjani mbona inaishia nafasi ya nne na tatu huu msimu wa tatu sasa!!!! Kati ya hiyo misimu mitatu Yanga wamekuwa mabingwa mara 2 na Azam mara 1, Je, kati Simba, Yanga na Azam timu ipi inacheza mpira magazetini?????Uzuri wa Yanga mpira wao huwa unaishia magazetini na kwenye mitandao ya jamii tu. Wakiwa uwanjani ni bwabwa tu kwa Simba na Azam, hata wafanyeje hali ni ile ile.