Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,986
Ni sentehfu beki la timu ya taifa ya togo-VINCENT BOSSOU na kiungo mkabaji wa timu ya taifa ya zimbawe na kepten wa platinum fc THABAN KAMUSOKO.
Wachezaji hao watafanyiwa vipimo asubuhi hii.
Wakati huohuo yule machika mabao wa timu ya taifa ya Burundi anatarajiwa kuwasili leo kujiunga na mabigwa wa bara Yanga FC.