Kumbuka timu zote mbili zimeamua kuanza na upya kwa makocha wapya hiyo tuupe muda utoe majibu maana hao makocha wapya hata mwezi hawajafikisha tokea wapewe timu
CAF CL huwa haitakagi mbwembwe Al Ahly kavuka kwa mbinde kiasi na huwaga anafika hadi final kwa tabu na ubingwa anabeba, huyo Yanga msimu uliopita si alifungo Goli 9 sijui on aggregate aliishia wapi? Tuache tuone kuliko kupiga ramli