Yanga nyie sio Mazembe jiandaeni kuwa shocked jioni ya leo

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za mda huu wakuu

Nmekuja kuandika kuhusu mechi ya leo ya Yanga

Naona wanajisahau kwa kuona club Tunis ni ya Kawaida baada ya kufungwa 8 na TP mazembe .

Nawakumbusha tu yanga. Wao sio MAZEMBE waache kudharau wapinzani otherwise kitakachowatokea kitakuwa kituko na Aibu ya karne
 
Reactions: BRN
Nahuu ndo uzi wetu wa updates kwa sisi wapenzi na washabiki lialia wa club africain dhidi ya utopwenga, waatakojoleshwa uto leo
 
Tupo pamoja
 
Ulitakiwa kuishauri timu yako ya Azam kabla ya kupokea kile kipigo kitakatifu cha tatu bila kutoka kwa wale Waarab dhaifu.
 
Tatizo la timu yangu ya Yanga, wanautegemea sana mwenge. Walidanganywa kwamba mwenge unaletaga amani, wakamini. Walidanganywa mwenge unaleta tumaini wakakubali. Wakashau kuwa mwenge hauvuki mipaka ya nchi yetu.

Kama mwenge unaleta amani, kwanini wasiupeleke Ukraine 🇺🇦 tupate nafuu ya maisha?

Tena huko Zitto alikuwepo siku si nyingi, si wangempa aende nao, akifika huko auwashe na kiberiti chake aanze kuimba mwenge huo mwenge, mbiombio, mwenge tunaukimbiza, mbiombio ,mpaka makao makuu, mbiombio
 
 
Leo hawatoamini macho yao
 
Hao wa kawaida sana! Uto leo asiposhinda zaidi ya 2 fukuzeni sio kocha tu na litimu lizima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…