YANGA(NYUMA MWIKO) IMESHINDA GOLI 6 JANA CACL,LAKINI BADO IMESHINDWA KUIVUNJA REKODI YA GOLI 7 ILIYOWEKWA NA SIMBA DHIDI YA HOROYA.

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,187
Reaction score
2,794
Baada ya nyuma mwiko a.k.a gongowazi,yondo sista,utopolo,nzi wa kijani,chura mjane kuwafunga kwa mbinde tugoli sita walima matikiti wa ethiopia uto wameshindwa kuivunja rekodi ya kufunga goli kwenye michuano ya caf champions league iliyowekwa na simba dume lenye njaa kutoka mbuga ya kariakoo baada ya kumfunga horoya goli 7.
 
Pambana na kivuli chako baadae ....
 
Hiyo rekodi wanaitamani sana. Ngoja wake kuvunjika viuno kwa kujaribu mambo ya wakubwa
 
kumbuka horoya ni timu kubwa na bora kuliko wale walima matikiti mliowafunga jana.
Yanga hii ya Pacome, Diarra, Mzize, Maxi inafunga timu mbovu tu kuanzia goli 5 na kuendelea. Kudhihirisha ubovu wa mpinzani Yanga wanakupiga nyumbani kwako na ugenini.
Hawana huruma na vitimu vibovu bovu.
Ref No. Mkp /stdm/Nov05/2023
 
Ongezea..Simba alishinda kwenye makundi na sio preliminary...hizi rekodi za preliminary huwa zinafutwa zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…