YANGA OYEEEEEE

Wachezajii was SIMBA WAMETIA AIBU BAADA YA KUANZA KUTAPIKA OVYO DUE TO WEATHER TURBULENCE HABARI ZA BURE ZINAONYESHA NUSU YA WACHEZAJI WALIPANGANA MLANGO WA CHOONI KUJISAIDIA KUONDOA HOFU...NAWASHAURI VYEMA MKAPATA USHAURI NN CHA KUFANYA KAMA UNAJUA UJASAFIRI NA NDEGE SIKU NYINGI
 
ha haaaa........
 
Hahaha acha uongo mkuu
 
Hivi mikia kweli waliweza kufunga mikanda maana miaka mingi hawajakwea PIPAAAAAAA
Mnaenda kucheza au kukwea pipa? Acheni ushamba, karne hii bado mtu unajivunia kupanda ndege? Kuna kipindi watu walikuwa wanajivunia kupanda gari, naona enzi hizo zipo kwa baadhi. FastJet zimejaa hadi leo hujapanda tu hadi uone kitu cha ajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…