Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shika adabu yako ewe pampuyu mtukutu.Hivi mikia kweli waliweza kufunga mikanda maana miaka mingi hawajakwea PIPAAAAAAA
ha haaaa........Wachezajii was SIMBA WAMETIA AIBU BAADA YA KUANZA KUTAPIKA OVYO DUE TO WEATHER TURBULENCE HABARI ZA BURE ZINAONYESHA NUSU YA WACHEZAJI WALIPANGANA MLANGO WA CHOONI KUJISAIDIA KUONDOA HOFU...NAWASHAURI VYEMA MKAPATA USHAURI NN CHA KUFANYA KAMA UNAJUA UJASAFIRI NA NDEGE SIKU NYINGI
Uzi yanga mapovu Simba,kweli mke hawezi kumaliza bila kimtaja mmeSimba ni timu ya hovyo
Hahaha acha uongo mkuuWachezajii was SIMBA WAMETIA AIBU BAADA YA KUANZA KUTAPIKA OVYO DUE TO WEATHER TURBULENCE HABARI ZA BURE ZINAONYESHA NUSU YA WACHEZAJI WALIPANGANA MLANGO WA CHOONI KUJISAIDIA KUONDOA HOFU...NAWASHAURI VYEMA MKAPATA USHAURI NN CHA KUFANYA KAMA UNAJUA UJASAFIRI NA NDEGE SIKU NYINGI
Kama uzi ni wa Yanga nawe wafahamu hivyo, kilikuwasha nini makalio kuufungua?Uzi yanga mapovu Simba,kweli mke hawezi kumaliza bila kimtaja mme
Mnaenda kucheza au kukwea pipa? Acheni ushamba, karne hii bado mtu unajivunia kupanda ndege? Kuna kipindi watu walikuwa wanajivunia kupanda gari, naona enzi hizo zipo kwa baadhi. FastJet zimejaa hadi leo hujapanda tu hadi uone kitu cha ajabu?Hivi mikia kweli waliweza kufunga mikanda maana miaka mingi hawajakwea PIPAAAAAAA
Huwezi kunipangia uzi wa kufungua kama ambavyo huwezi kumzuia mmeo Kichuya kuikojoza YangaKama uzi ni wa Yanga nawe wafahamu hivyo, kilikuwasha nini makalio kuufungua?
Naona umempost De Le Boss![]()
Mwisho wa msimu Braza anawaambia keshaandika barua FIFA
Yes boss wenu. The Barua MtaalamNaona umempost De Le Boss
Kha kha! Sasa mbona ukatupangia cha kujadili?Huwezi kunipangia uzi wa kufungua kama ambavyo huwezi kumzuia mmeo Kichuya kuikojoza Yanga