Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Yanga kwa sasa ipo hoi kiuchumi hadi kufikia kutembeza bakuli lakini itafanya vizuri sana uwanjani kwa kuwa haina cha kupoteza kwakuwa hata usajili wao sio wa kutisha kama wa wapinzani wao wa jadi Simba ambao wako vizuri kifedha kutokana na kuwa na mfadhili mwenye fedha na pia kufanya usajili mkubwa lakini kimpira hawatafanya vizuri kwakuwa wamewekeza katika dharau, kejeli na majigambo zaidi ya kujikita katika mpira.