Yanga pamoja na ukubwa wao wanastahili wadhibiwe kwa uongo na upotoshaji

Nasikia Yanga na Azam ilisogezwa mbele muda na Yanga walicheza
Nikasikia Yanga na biashara muda ulisogezwa na yanga walicheza
Hata jana ingekua Yanga na Ihefu Yanga wangecheza !!!Tatizo ni Simba !!!
Nina uhakika jana Yanga walikua wanajua nini kitawakuta
 
Kwani hawakwenda uwanjani?
 
Bila shaka mtoa mada huna nyumba, huna pesa, unalishwa na kulala bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…