Yanga pelekeni timu yenu kwenye Makanisa ya Kikristo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Pamoja na kuwa Ukristo sasa hivi unachukuliwa kama kituko kutokana na aina ya viongozi wanaojingiza kwenye Ukristo, lakini ukiangalia vizuri zaidi ndiyo dini yenye nguvu zaidi za kiroho kuliko dini yeyote.

Ila wengi watabisha kwasababu ya udini tu, bali siyo lengo langu mimi kusema hivyo, nilikuwa na chomekea tu.

Ila ukweli ni hivi, Yanga pelekeni timu yenu mkafanye maombi au mkaombewe na Wakristo. Naamini hiyo mikosi na nuksi zenu zitatoka. Yanga ni timu kubwa sana ila kuna baadhi ya vitu haviko sawa kiupande wao. Unajua Yanga akisimama vizuri Simba hana nafasi ya kujidai kuanzia kwenye kimataifa na mpaka nyumbani!
 
Chama langu Simba lilishaombewa? Ila upo sahihi
 
Nikweli aisee..
Leo hii Simba na Yanga wabadilishane timu kwa maana Simba acheze na Al Hilal akitumia matokeo ya Yanga na Yanga wacheze hapa nyumbani wakitumia matokeo ya Simba utashangaa Yanga wanatolewa.
 
Pamoja na kuwa Ukristo sasa hivi unachukuliwa kama kituko kutokana na aina ya viongozi wanaojingiza kwenye Ukristo, lakini ukiangalia vizuri zaidi ndiyo dini yenye nguvu zaidi za kiroho kuliko dini yeyote...
Ungemalizia na KWISHA kama ID Yako

Aibu naona mimi
 
Nikweli aisee..
Leo hii Simba na Yanga wabadilishane timu kwa maana Simba acheze na Al Hilal akitumia matokeo ya Yanga na Yanga wacheze hapa nyumbani wakitumia matokeo ya Simba utashangaa Yanga wanatolewa.
Hahahahahaha
 
Shekh Ghalib Said Mohamed.
Al haj injinia Said Hersi.
Ally Kamwe.
Ustadh Haji Manara.

washawishi hao[emoji115] kama utaweza basi itakua vema.
 
Mambumbumbu wenzangu toka MAKOLOKOLO FC chonde chonde tusijisahau sana maana mwisho wa safari yetu hauko mbali sana [emoji28]
 
Shekh Ghalib Said Mohamed.
Al haj injinia Said Hersi.
Ally Kamwe.
Ustadh Haji Manara.

washawishi hao[emoji115] kama utaweza basi itakua vema.

Hawa wooote WAISLAMU.

DINI ya kiislamu inaamini sana MAJINI.
kwa wakristo Majini ni Malaika WALIO hasi MBINGUNI wakatupwa Duniani.

HUWEZI kuwa Ustadhi bila kuwa kundi la Majini
 
SLAMU NI DINI YA MASHETANI MAPEPO,MAUBANI,NAZI, NA UJINGA MWINGI
 
La kuvunda halina ubani. Wenzio wameshafikia malengo yao ya kuifunga Simba
 
Naona vijana wameanza kuleta mtafaruku wa kidini humu Moderater waupige ban huu uzi
 
Hawa wooote WAISLAMU.

DINI ya kiislamu inaamini sana MAJINI.
kwa wakristo Majini ni Malaika WALIO hasi MBINGUNI wakatupwa Duniani.

HUWEZI kuwa Ustadhi bila kuwa kundi la Majini
Ndo hao sasa watoto wa town wameshikilia mpini mleta mada akawape wazo la lake.
 
Kumbe!!!!ucwe bwege we nguchiro
Hawa wooote WAISLAMU.

DINI ya kiislamu inaamini sana MAJINI.
kwa wakristo Majini ni Malaika WALIO hasi MBINGUNI wakatupwa Duniani.

HUWEZI kuwa Ustadhi bila kuwa kundi la Majini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…