kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Pamoja na kuwa Ukristo sasa hivi unachukuliwa kama kituko kutokana na aina ya viongozi wanaojingiza kwenye Ukristo, lakini ukiangalia vizuri zaidi ndiyo dini yenye nguvu zaidi za kiroho kuliko dini yeyote.
Ila wengi watabisha kwasababu ya udini tu, bali siyo lengo langu mimi kusema hivyo, nilikuwa na chomekea tu.
Ila ukweli ni hivi, Yanga pelekeni timu yenu mkafanye maombi au mkaombewe na Wakristo. Naamini hiyo mikosi na nuksi zenu zitatoka. Yanga ni timu kubwa sana ila kuna baadhi ya vitu haviko sawa kiupande wao. Unajua Yanga akisimama vizuri Simba hana nafasi ya kujidai kuanzia kwenye kimataifa na mpaka nyumbani!