mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Ngoja tusubiri wao watasemaje kuhusiana na hili.Uwa nasema kilasiku Simba aijawai kushindwa vita.
Kuhairishwa kwa mechi mashambulizi yalianza kuilenga Simba,atimae Nabi katuliza maiti.
chanzo cha habariKocha mkuu wa clabu Nabi , amesema baadhi ya wachezaji wa timu hiyo ni wagonjwa. Aidha , Nabi ametoa pole kwa club ya simba kufuatia wachezaji wa timu hiyo kuugua hali iliyopelekea mchezo wao na Kagera fc kuahirishwa.
Pole wachezaji wa timu zote mbili mliokumbwa na madhira hayo na Mungu awape wepesi mpone haraka ili muweze kuendelea na majukumu yenu.