mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Kocha mkuu wa clabu Nabi , amesema baadhi ya wachezaji wa timu hiyo ni wagonjwa. Aidha , Nabi ametoa pole kwa club ya simba kufuatia wachezaji wa timu hiyo kuugua hali iliyopelekea mchezo wao na Kagera fc kuahirishwa.
Pole wachezaji wa timu zote mbili mliokumbwa na madhira hayo na Mungu awape wepesi mpone haraka ili muweze kuendelea na majukumu yenu.
Pole wachezaji wa timu zote mbili mliokumbwa na madhira hayo na Mungu awape wepesi mpone haraka ili muweze kuendelea na majukumu yenu.