wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
Unanikumbusha kipindi kile Kibadeni na Julio waliondoka tukiwa nafasi ya kwanza halafu akaja Logarusic na kututupa hadi nafasi ya nne.nawasikitia timu ya yangaafrica uongozi pamoja na mashabiki yasiojua mpira mlimsakama jaja akamua abaki kwao mkaona haitoshi mkaanza kwa maximo.
kocha mwenye taaluma maximo aliwaacha yanga nafasi ya pili leo mpo nafasi ya nne amakweli mdomo uliponza kichwa
Unanikumbusha kipindi kile Kibadeni na Julio waliondoka tukiwa nafasi ya kwanza halafu akaja Logarusic na kututupa hadi nafasi ya nne.
unanikumbusha kandambili walimtimua jaja akiwa kafunga magoli 3 wamemleta mrwanda mpaka sasa kacheza mechi 7 ana magoli 0
yanga ni sawa na maiti inayonuka haifai hata kuzikwa