Yanga poleni

Yanga poleni

COLLOH-MZII

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
722
Reaction score
297
half time 2-0 nani anawatch hii
DiZwRf7XkAAFYRA.jpg:large
 
Mafuriko Jangwani. Vyura wanaogelea
 
Yani Midanganyika yanapita kimya kimya..... Ama watakuja na excuses kutoka hapa hadi mwezini.....
 
Sijaona Yule mzee wa 'Gor Mahia mdebwedo?'. Ama anapita kimya kimya?.
 
Tz tumewaoa kwa kila jambo sio michezo, uchumi hata wanawake.
 
Back
Top Bottom