OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii ni timu kubwa na ina jina lakini namna inavyoendeshwa ni kama ndondo. Tazama wachezaji wanavaa kienyeji kama wapo Kariakoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa kupigwa bomba hawa achana nao bado hawajaweza kukaa vzrkalia tako moja FC aka Mbumbumbu fc wako kazini. Acha nna Yanga.
Kipi, mtakubali, au mnataka tufuate ushauri wenu?Hii ni timu kubwa na ina jina lakini namna inavyoendeshwa ni kama ndondo. Tazama wachezaji wanavaa kienyeji kama wapo Kariakoo.
Tako moja kukalia hawachoki?Kalia tako moja FC aka Mbumbumbu fc wako kazini. Achana na Yanga.
Gani?🤣🤣
Umesikia ya Moringe?
Tafuta You tube kipindi cha sport Arena wasafi FM maana kuweka hapa nitakuwa simtendei haki mleta UZIGani?
Angalau nutshell.Tafuta You tube kipindi cha sport Arena wasafi FM maana kuweka hapa nitakuwa simtendei haki mleta UZI
Umeumia sana mkuuHii ni timu kubwa na ina jina lakini namna inavyoendeshwa ni kama ndondo. Tazama wachezaji wanavaa kienyeji kama wapo Kariakoo.