Yanga punguzeni mambo ya kienyeji, ni kama timu ya ndondo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Hii ni timu kubwa na ina jina lakini namna inavyoendeshwa ni kama ndondo. Tazama wachezaji wanavaa kienyeji kama wapo Kariakoo.

Your browser is not able to display this video.
 
Kalia tako moja FC aka Mbumbumbu fc wako kazini. Achana na Yanga.
 
Hii ni timu kubwa na ina jina lakini namna inavyoendeshwa ni kama ndondo. Tazama wachezaji wanavaa kienyeji kama wapo Kariakoo.

Kipi, mtakubali, au mnataka tufuate ushauri wenu?

Timu iko kwenye mtambuko wa mabadiliko ya uendeshaji wa kisasa HAMTAKI kukubali ni safari sahihi kwa ushirikiano na laliga.
Kalia tako moja FC aka Mbumbumbu fc wako kazini. Achana na Yanga.
Tako moja kukalia hawachoki?
 
Hivi wenzetu nyie hamna team ya kwenu make mnangaika na ya jirani kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…