hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Mimi ni simba damu na nakubali mlitupiga kono la nyani aka hamsa.
Ila sasa mnachokifanya ni sifa zilizopitiliza kuweni na utu na huruma japo kidogo.
Ndio nini kutuwekekea kono la nyani kwenye jezi zenu mpya.
Daah nilitaka kununua jezi zenu kwani ni kali balaa ila nilivyoona hamsa hamsa na makono ya nyani yamejazwa kwenye jezi nimegaili.
#UBUNTU BOTHO
#GUVU MOYA.