Yanga Queens mpaka sasa wamefungwa mbili bila

Maveteran tulicheza na timu ya wanawake ni vibinti vina misuli hatari halafu jicho nyanya basi baada ya dakika 10 niliona nisijishushie heshima ilipigwa ndefu nikaituliza halafu nikakaa chini nimeshika goti kwa nyuma huku nagalagala nazuga nimeumia siwezi kuendelea na mechi nikatoka nje. Waliobaki walipekekwa ulimi njee.. mtoto anaweka upaja unapaa kulee .. tulipigwa 4-1
 
Kwikwikwi
 
Ni heri mara 100 Mwanahamisi Gaucho au yule OPA mfungaji bora wa ligi yao kuliko Sarpong au Nchimbi. Striker gani hufungi mpaka penalty tu?
 
Vipi huyu striker hatari bibi yake Sarpong alikuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…