Yanga raha sana kuanzia Kocha mpaka wachezaji wote wana furaha, tazama video hii

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
4,720
Reaction score
6,957

Hakuna timu nyingine utamkuta kocha ana furaha na wachezaji wake kama alivyo Gamondi.

Kwa furaha hii, tuendelee kuiona Yanga ikichukua mataji baada ya mataji.

Na Jumamos ijayo Vital'O ya Burundi itakula goli nyingi sana pale Chamazi.
.
Makolozidadi endeleeni kununa.😛😛😛
 
Robertinho alipokuwa na vibe mlimuita mwehu. Vyura acheni roho mbaya ya kwa nini....
 
Sema kocha wa yanga kama dish linayumba haamini ubora wa wapinzani siku ile kwenye mechi ya ngao ya jamii alitakiwa apewe red card sijui zile 5 walizofungwa simba wangefungwa yanga ingekuwaje maana ni watu wa kutia huruma sana kila kitu wanaonewa.
 
Ubora na maamuzi ya ovyo vinahisiana nini? Kwahiyo unataka akiona kuna maamuzi mabovu asihamaki bali afurahie tu?
Una uliza kuhusu tano kuwa kashindaje, je ile mechi kungekuwa na VAR ubao ungesomeka hilo goli moja pekee?
Hakuna kocha diniani anayefurahia timu yake ifanyiwe dhulma, Robertinho alikuwa anapiga hadi viti teke.
 
Inatakiwa u balance kuna mambo ya kihuni ilikuwa anafanya diara lakini hata refa alipo mpa kadi alimfokea 4th official.
 
Mpira ni mchezo wa hisia, usidhani ni jambo rahisi kuzuia hisia ndio maana nimekupa mfano kuwa Robertinho alikuwa anapiga hadi viti uwanjani. Watazamaji kwavile tunatazama ndio maana tunashindwa kuuvaa hisia walizonazo wachezaji au makocha.
 
Ubora na maamuzi ya ovyo vinahisiana nini? Kwahiyo unataka akiona kuna maamuzi mabovu asihamaki bali afurahie tu?
Una uliza kuhusu tano kuwa kashindaje, je ile mechi kungekuwa na VAR ubao ungesomeka hilo goli moja pekee?
Hakuna kocha diniani anayefurahia timu yake ifanyiwe dhulma, Robertinho alikuwa anapiga hadi viti teke.
Benchika alibaki peke yake uwanjani duu kumbe siyo mchezo kuwa kocha
 
Back
Top Bottom