Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Sema kocha wa yanga kama dish linayumba haamini ubora wa wapinzani siku ile kwenye mechi ya ngao ya jamii alitakiwa apewe red card sijui zile 5 walizofungwa simba wangefungwa yanga ingekuwaje maana ni watu wa kutia huruma sana kila kitu wanaonewa.
Inatakiwa u balance kuna mambo ya kihuni ilikuwa anafanya diara lakini hata refa alipo mpa kadi alimfokea 4th official.Ubora na maamuzi ya ovyo vinahisiana nini? Kwahiyo unataka akiona kuna maamuzi mabovu asihamaki bali afurahie tu?
Una uliza kuhusu tano kuwa kashindaje, je ile mechi kungekuwa na VAR ubao ungesomeka hilo goli moja pekee?
Hakuna kocha diniani anayefurahia timu yake ifanyiwe dhulma, Robertinho alikuwa anapiga hadi viti teke.
Mpira ni mchezo wa hisia, usidhani ni jambo rahisi kuzuia hisia ndio maana nimekupa mfano kuwa Robertinho alikuwa anapiga hadi viti uwanjani. Watazamaji kwavile tunatazama ndio maana tunashindwa kuuvaa hisia walizonazo wachezaji au makocha.Inatakiwa u balance kuna mambo ya kihuni ilikuwa anafanya diara lakini hata refa alipo mpa kadi alimfokea 4th official.
Benchika alibaki peke yake uwanjani duu kumbe siyo mchezo kuwa kochaUbora na maamuzi ya ovyo vinahisiana nini? Kwahiyo unataka akiona kuna maamuzi mabovu asihamaki bali afurahie tu?
Una uliza kuhusu tano kuwa kashindaje, je ile mechi kungekuwa na VAR ubao ungesomeka hilo goli moja pekee?
Hakuna kocha diniani anayefurahia timu yake ifanyiwe dhulma, Robertinho alikuwa anapiga hadi viti teke.