Yanga rekebisheni haya Mambo matatu walau mtafaidika kimataifa

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
392
Reaction score
798
Jambo la kwanza tuutoe ule mwenge kwenye nembo ya timu, mwenge maana yake wewe ni wa hapahapa, mwenge haujawahi kufika hata hapo Kenya,unazunguka hapa ndani tu. Tuweke radi pale, ukizubaa inakupasua.

Pili, inabidi ile slogan ya nyuma mwiko tuitoe, tutafute slogani nyingine, huo mwiko huko nyuma unatafuta nini kama si kutulegezea wachezaji.

Tatu, tumtoe yule mandonga kwenye logo yetu, Mandonga ni alama ya ubwege.

La mwisho Kama itawapendeza tubadilishe jina la timu, jina linatufanya tuwe wadogo mbele ya mpinzani.

Ni hayo tu ila Tukapamhane sudani lolote lawezekana

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Motive yangu imeanza kuwaingia wengi.....
buji ni nabii
 

Jezi ya Yanga ni 'NZITO'
 
inabidi ile slogan ya nyuma mwiko tuitoe, tutafute slogani nyingine, huo mwiko huko nyuma unatafuta nini kama si kutulegezea wachezaji.[emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah eti mwiko unatafuta nn nyuma kwa wachezaji
 
Tatizo mshauzoea huo mwiko kuutoa sidhan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…