PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Jambo la kwanza tuutoe ule mwenge kwenye nembo ya timu, mwenge maana yake wewe ni wa hapahapa, mwenge haujawahi kufika hata hapo Kenya,unazunguka hapa ndani tu. Tuweke radi pale, ukizubaa inakupasua.
Pili, inabidi ile slogan ya nyuma mwiko tuitoe, tutafute slogani nyingine, huo mwiko huko nyuma unatafuta nini kama si kutulegezea wachezaji.
Tatu, tumtoe yule mandonga kwenye logo yetu, Mandonga ni alama ya ubwege.
La mwisho Kama itawapendeza tubadilishe jina la timu, jina linatufanya tuwe wadogo mbele ya mpinzani.
Ni hayo tu ila Tukapamhane sudani lolote lawezekana
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app